Saturday, March 21, 2015

ARSENAL RAHA

ARSENAL YAITWANGA NEWCASTLE 2-1

Licha ya washabiki wa Kibongo kumuona kocha wa Arsenal kuwa si chochote , lakini mambo yamebadilika na sasa washabiki wanafurahia ushindi mfulululizo na hii inamaanisha kuwa timu hiyo iko katika kinyang'anyoro cha Ubingwa.

No comments:

Post a Comment