Monday, March 30, 2015

JAMES BOND ADAIWA KUWA NI MBAGUZI WA RANGI

Unadhani ile kauli ya James Bond wa zamani ilimbagua Idris Elba

141229220823_sp_bond1Kumekuwa na matukio mengi yanayoripotiwa  na vyombo vya habari kuhusu ubaguzi wa rangi   ambapo matamshi aliyoyatoa aliyekuwa staa wa movie ya 007 Roger More aka James Bond wakati wa mahojiano, amesema madai kwamba alitoa kauli ya kiubaguzi dhidi ya actor Idris Elba si ya kweli.
SIR-ROGER-MOORE
Roger More jamaa aliyewahi kuigiza movie kwa jina la ‘James Bond
Bond anasema aliulizwa kuhusu ishu ya Elba kumrithi Daniel Craig ambaye ndiye anayeigiza kama James Bond kwa sasa.
Skyfall - Royal World Premiere - Alternative View
Msanii huyo ambae ni mkongwe wa filamu, alinukuliwa akisema kuwa mtu anayefaa kumrithi katika filamu mpya ya 007 anafaa kuwa muigizaji aliyetokea Uingereza kwa kuwa James Bond wote waliotangulia walikuwa wazungu toka huko.. kuliibuka hisia kali kutoka kwa watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii lakini amesisitiza kuwa alinukuliwa vibaya.
Idris Elba
Idris Elba

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment