Sunday, March 22, 2015

AZAM MAMBO SAFI, YAISHINDA COASTAL UNION YA TANGA KWA BAO 1

. Wachezaji wa Coastal Union wakiwani mpira na wachezaji wa Azam huku John Bocco wa Azam akiwaangalia wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara punde mpira kuisha uliochezwa uwanja wa Mkwakwani na Azam ikaifunga Coastal kwa bao 1.
.
 Mchezaji wa Azam, John Bocco akiwania mpira wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara punde mpira kuisha katika uwanja wa Mkwakwani ambapo Azam ilibuka na ushindi wa bao 1.
 Washabiki wa Coastal Union ya mjini Tanga wakiwa katika butwaa baada ya timu yao kufungwa bao 1 na Azam jana katika uwanja wa Mkwakwani. leo

Wachezaji wa Coastal Union ya mjini Tanga wakitoka uwanjani baada ya mpira kumalizika na kufungwa bao 1 na Azam jana katika uwanja wa Mkwakwani muda mfupi mpira kuisha

No comments:

Post a Comment