Maamuzi ya Mahakama kuhusu kesi inayomkabili Chris Brown!!
Baada ya kutumikia kifungo cha miaka sita nahukumiwa kwa kosa la kumpiga aliyekuwa girlfriend wake Rihanna, kuna maamuzi ambayo mahakama ya Los Angeles imetoa kuhusiana na hitmaker wa nyimbo ya ‘New flame‘ Chris Brown.
Ni miaka sita tangu mwanamuzi Rihanna
amshtaki Chris Brown kwa kosa la kumpiga na kutumikia adhabu hiyo ambayo
alikuwa katika kipindi cha majaribio na sasa yuko huru baada ya kesi
yake kumalizika.
Katika kuonyesha furaha yake Chris Brown
baada ya kutoka mahakamani hapo aliandika kwenye ukurasa wake wa
Twitter kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa yupo huru.
“IM OFF PROBATION!!!!!!!! Thank the Lord!!!!!!”
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment