Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyozima akimtoka
kiungo wa Mgambo Ramadhani Malima wakati wa ligi kuu Tanzania Bara
Vodacom uliochezwa jioni hii katika uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga na Yanga
ilishonda kwa mabao 2 -0
Washabiki wa timu ya Mgambo JKT wakiwa hawaamini
baada ya timu yao kufungwa mabao 2-0 jana katika uwanja wa Mkwakwani
Tanga.
Mshambuliaji wa timu ya
Yanga, Kpah Sherman akifanyiwa faulu wakati wa ligi kuu Tanzania Bara
Vodacom uwanja wa Mkwakwani Tanga jioni hii ambapo Yanga ilishinda kwa mabao 2
.0
Wachezaji na viongozi wa
Yanga wakishangilia goli la pili dhidi ya Mgambo JKT jana mchezo
ulichezwa uwanja wa Mkwakwani Tanga jioni hii
Shabiki wa timu ya Yanga akishangilia ushindi kwa staili
ya aina yake leo jioni dhidi ya Mgambo JKT ulichezwa uwanja wa Mkwakwani
Tanga.
No comments:
Post a Comment