Thursday, March 26, 2015

KAZI INAENDELEA

 Katapila la kampuni ya Hari Sigh and Sons Limited, likitandaza kifusi barabara ya 6 Ngamiani Tanga, awali barabara hiyo ilikuwa na mshimo na kusababisha maji kutuwaa nyakati za mvua na kusababisha mazalia ya mbu.





No comments:

Post a Comment