Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Husna Rajab(katikati) Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mariam Juma (kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Suleiman Luwowa (mwisho kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini , Abdulla Lutavi (kulia) wakitundika mzinga wa nyuki wakati wa maadhimisho ya siku ya Utundikaji Mizinga ya Nyuki kitaifa iliyofanyika kijiji cha Bulogwa Wilayani Handeni Mkoani Tanga juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Magalula, akiangalia nta wa Asali katika mabanda ya maonyesho siku ya Utundikaji mizinga kitaifa yaliyofanyika kijiji cha Bulogwa Wilayani Handeni Mkoani Tanga juzi.
No comments:
Post a Comment