Unazipenda Mark X? kama unapesa unaweza kucheki na hii ya 2014.
Ukiitegesha
camera kwenye kona mbalimbali za Tanzania lazima jioni itakuletea
hesabu kubwa ya picha za Toyota Mark X ambazo ni gari za kifahari kutoka
kwa Mjapan.
Nimekutana na hii kwenye mtandao ni ya mwaka 2014, Mark X sedan from Toyota G Sports
No comments:
Post a Comment