Tuesday, March 31, 2015

MGENGO WA MIKE TYSON KUWA KANISA

Jengo la kifahari la Mike Tyson sasa kugeuzwa kanisa…(Pichaz)

tyson6Miaka ya tisini bondia wa ngumi za uzito wa juu duniani Mike Tyson alikuwa akimiliki Jumba la kifahari katika eneo la Southington, Ohio nchini Marekani.
Muonekano wa jumba hilo pamoja na kujengwa na kunakshiwa kifahari na kutumia fedha nyingi,kwa sasa limekuwa likionekana kama gofu.
Tyson alilazimika kuliuza jumba hilo mwaka 1999 kwa kitita cha pauni milioni 1.3 baada ya kukumbwa na kashfa ya ubakaji na sasa litabadilishwa na kuwa kanisa.
tyson
tyson2
tyson3
tyson4
tyson5
tyson6
tyson7
tyson8
tyson9Hakuna Stori itakayokupita mtu wangu,niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment