KITENGO SHIRIKISHI CHA AFYA ZANZIBAR CHA ANDAA MJADALA JUU YA UZAZI WA MPANGO KATIKA UISLAM.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa
cha Zanzibar Issa Haji Zidi akizungumza na vijana katika mjadala
kuhusu uzazi wa mpango katika Uislamu ulioandaliwa na Kitengo
Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto kwenye ukubi wa Chuo cha Mafunzo
Kilimani Mjini Zanzibar.
Mkufunzi kutoka Chuo cha Sayansi
ya Afya ya Mbweni, Asha Ali Khamis akionyesha moja ya dawa za kisasa za
uzazi wa mpango katika mjadala huo.
Mmoja wa washiriki wa mjadala
kuhusu uzazi wa mpango katika uislamu Dosa Omar Machano akitoa mchango
wake kuhusu umuhimu wa uzazi wa mpango.
Mshiriki wa mjadala huo kutoka Mkoa
Kaskazini Unguja Asha Makame Mohammed akichangia mada zilizowasilishwa.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia
mada zilizowasilishwa katika mjadala kuhusu uzazi wa mpango katika Uislamu uliofanyika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo Kilimani.
No comments:
Post a Comment