‘
Nimeamua
kuoa kabisaa.. Kesho(Leo) nitakua nafunga ndoa, huyu ndo mke wangu… Apa sasa
ata nikifumania nitapigana mpaka mwisho, na nitakua na haki ubachela
byeee Kule sirudi tenaaaaa, Kwa niliowaalika karibuni I hope mtaenjoy‘ ndio kaandika hivyo Nay wa Mitego
No comments:
Post a Comment