ANGALIA PICHA : SHUGHULI YA UOKOAJI KATIKA AJALI YA NDEGE YA GERMANWINGS ZIMEANZA TENA NCHINI UFARANSA
Polisi
nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa inakwamisha zoezi la
utafutaji miili ya watu wapatao 150 katika eneo la ajali ya
ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.
Waathirika wa ajali hiyo
wanatoka nchi mbali mbali ambapo watu 45 ni Wahispania huku zaidi ya
sitini wakiwa ni Wajerumani.Kumi na sita, kati yao walikuwa ni wanafunzi kutoka shule
moja nchini Ujerumani ambao walikuwa wakijerea kutoka katika ziara ya
kutembelea Hispania.
"
No comments:
Post a Comment