Kabati la nguo lazua Taharuki huko Mbagala Dar, sherehe yafanyika…
Kutoka
Mbagala Dar inahusu mama
aliyeolewa na kupewa zawadi ya kabati la nguo na somo wake, lakini baada
ya muda mrefu kupita akaenda kwa bibi harusi huyo na kudai kabati lake
kwa madai hana fadhila.
Mama huyo amesema somo yake alimpa
zawadi ya kabati lakini baadae alimtuhumu kuwa hana fadhila na hajawahi
kumpa zawadi yoyote, akaamua kuchukua kabati lake kitendo kilichomkera
mume wake wa mama huyo na kuamua kumnunulia mke wake dressing table
mpya.
Basi wakaitwa marafiki, ndugu na
majirani ili kushiriki sherehe ya kicheko.
Hutopitwa na habari yoyote inayonifia wakati wowowte kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment