Saturday, March 28, 2015

KUMBE NAE MANNY PACQUIAO YUMO

Napenda sana mijengo mtu wangu… Nimeupenda na huu mpya wa Manny Pacquiao (PICHAZ)

colorful-lights-brighten-the-pool-area-at-night
Yani toka siku ambayo Floyd Mayweather na Manny Pacquiao waliweka saini zao kwamba wako tayari May 2 2015 kukutana kwenye ulingo, waoneshane umwamba halafu mwishoni kila mtu atakuwa na majibu kwamba nani mbabe kweli kati yao, story zinatoka kila siku kuhusu wao.
Mayweather ni kama ametawala sana media, ana mishemishe nyingi zinazomuweka kwenye Headlines.. leo nakusogezea hii toka kwa Pac nae.
Beverly Hills ni sehemu ambayo Mastaa wengi wa Marekani wanaishi.. Tushasikia na kuona mijengo ya Justin Bieber, Jay Z na Beyonce, Kanye West na Kim.. Ni time ya kuuona mjengo mpya wa bondia Manny Pacquiao.
Pac I
Pac II
colorful-lights-brighten-the-pool-area-at-night
the-patio-area-directly-outside-of-the-kitchen
the-pool-is-extravagant-with-another-lounge-area
Pac III
Pac IV
PAC VI
Pac VII
another-guestroom
Karibu sana nyumbani kwa Pac. Hiki ni chumba cha wageni yani.
Pac IX
Jikoni nako ni muhimu mtu wangu.
Pac V
Sebule ya kulia chakula hapo.
the-basement-has-an-in-home-theater-with-surround-sound
Mpenzi wa Movies.. Hapo nd’o pahala pake.
the-house-also-has-an-elevated-patio-with-gorgeous-views-of-the-city
Kama unafanya zako maongezi hapa, utaona mji kwa uzuri kabisa.
the-master-bathroom-has-a-spa-style-bathtub-and-a-double-headed-shower
Ameingia zake bank, katoa kama dola mil. 12.5 hivi kuununua mjengo huu… Akaongeza na asante nyingine kwa jamaa aliyemuuzia, kampa zawadi ya ticket nne za pambano lake na Floyd Mayweather.
Floyd ni kama kajibiwa hivi.. Zile mbwembwe na magari, jumba la kifahari, ndege yake.. Pac nae yuko vizuri kumbe.
Niko karibu na wewe mtu wangu, nakusogezea kila story inayonifikia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment