James Bond anarudi tena.. Ungependa kuona Trailer ya movie yake mpya? Cheki
Najua jina la JAMES BOND sio geni kama wewe ni mpenzi wa movie za action, karibu mtu wangu..
Anza na kucheki hizi PICHAZ kwanza..
.
November 6 2015 ndio tarehe ambayo
wameiweka rasmi kwa ajili ya movie hiyo kuachiwa, watu wangu wa movie
najua mtaisubiri hii pia pale Mlimani CITY-Cinema Century, Oysterbay na Quality Center.
PICHAZ nyingine cheki hizi..
No comments:
Post a Comment