Ishu ya Wanyama kupelekwa mjini na kuachwa makusudi kama Mabango inazidi kukua
Imekua
ikitokea Uganda hasa Kampala ambapo Wanaharakati wamekua wakiwatumia
Nguruwe kwa kuwaandikia maandishi kama hivi lakini hii ya March 30 2015
imeripotiwa kutoka kwenye barabara ya
Kenyatta Avenue Nairobi Kenya.Unaambiwa Wafanyakazi wa baraza la Kaunti ya Nairobi waliwaondoa Punda hao watano waliokua wameachwa kwenye eneo hilo na Wanaharakati kutoka mashirika ya kijamii, walikua wamepakwa rangi wakiwa na maandishi mbalimbali yakiwemo yanayoshutumu ufisadi.
No comments:
Post a Comment