Ingekua wewe ndio Baba mkwe sasa na hasira zako zooooote, ungeamua nini kwenye hii?
Katika
vile vichekesho ambavyo unaweza kukutana navyo kwa siku na dakika zako
chache ukazitumia kufikiria, kufurahi na kucheka…… nisaidie kunipa jibu
kwenye hii hapa chini, ungekua wewe ndio Baba Mkwe sasa ungesimamia
wapi?
No comments:
Post a Comment