Kwa wale wenzangu mnaopenda kuona nyumba za kisasa zilivyojengwa, hizi 3 kwangu ni kali za leo.
Nakubali
kwamba moyo wangu unazimika sana na nyumba nzurinzuri, yaani mtu wako
wa nguvu kuwa na gari la kifahari sio muhimu kama ilivyo kuwa na nyumba
nzuri au sehemu nzuri ya kulala.Ni mara kwa mara hapa www.tangakumekucha.blogspot.com huwa naweka picha za nyumba za kisasa zilivyojengwa na wenzetu ili hata watu wangu walio kwenye ujenzi wapate madini kidogo au idea manake kuna uwezekano nyumba yote kama hii kuijenga ukashindwa lakini kuna vitu vichache unaweza kuvijenga/kuwa navyo kwa kujifunzia hapa.
Hii nyumba ya kwanza ipo Poole in Dorset England.











Hizi picha chache zinazofata ni za nyumba ya pili ambayo ipo La Esmeralda, Argentina.

Hii nyumba ya tatu ipo Singapore.


Umependa nyumba au kitu gani kwenye hii list ya leo

No comments:
Post a Comment