Wednesday, March 25, 2015

MAFURIKO TANGA

 Watumiaji wa barabara ya kwanza Ngamiani  Tanga  wamelazimika kuihama barabara hiyo baada ya mvua kubwa kunyesha usiku mzima na kusababisha maji kujaa na baadhi ya nyumba kuingia maji.





No comments:

Post a Comment