Staa wa soka kwenye Rekodi nyingine kubwa kwenye mtandao wa Facebook
Inapokuja ishu ya nani anafahamika zaidi
duniani, au nani ana followers wengi mtandaoni kutokana na umaarufu
wake.. Muziki, mchezo hivi ni vitu ambavyo vina wapenzi wengi duniani,
kwa hivyo mastaa wa michezo kama mpira wa miguu, au mastaa wa muziki
lazima pia watakuwa na followers wengi kwenye kurasa zao za mitandao ya
kijamii.
Facebook ni mtandao
wenye nguvu sana, urahisi wake kuutumia unafanya watu wengi kuupendelea
zaidi, nakusogezea hii rekodi ambayo kama hujaipata basi ufahamu
kwamba Cristiano Ronaldo anaongoza kuwa na followers wengi Facebook ambao ni Mil. 107,142,691 huku nafasi ya pili akishika Shakira ambaye ana followers 107,087,100.
Staa wa soka Wayne Rooney ni maarufu lakini anashika nafasi ya 95 kwa kuwa na followers Mil. 10.8 Facebook.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment