Majaji Uingereza kwenye Headlines… Ishu ni video za ngono

Majaji watatu Uingereza wamefukuzwa kazi
baada ya kukutwa na hatia ya kutumia mtandao na Computer za ofisi ya
Mahakama kuangalia video za ngono.
Msimamizi wa idara ya Mahakama amesema kuwa Majaji hao, Timothy Bowles, Warren Grant na Peter Bullock walitumia Computer za ofisi kuangalia video za ngono, ni kinyume na taratibu na maadili ya ofisi ya Umma.
Hivi mfano ikifanywa utafiti Bongo
kuonesha watu ambao wako maofisini na wanaangalia hizi picha na video
unadhani matokeo yake yatakuwaje .
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayari kukutumia kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment