Mtoto wa staa wa soka nae ni staa yani !

Katika mchezo wa Jumapili March 15 uliokuwa kati ya Manchester United na Totternham, Kai ambaye aliongozana na baba yake uwanjani alijikuta akipata umaarufu wa aina yake, mama mmoja fan wa Man U alimuomba mtoto huyo amsainie autograph yake kama ambavyo huwa wanasign mastaa wengi wakikutana na fans wao.
Mtoto huyo ana umri mdogo lakini alisaini autograph hiyo na mama huyo alionekana pia kufurahia.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment