Stori ya mwisho kusikika Marehemu Kaptain KOMBA

Stori ya mwisho ambayo alisikika Marehemu Kapteni John Komba
 ilikuwa kuhusu ishu ambayo iliandikwa na baadhi ya vyombo vya habari 
kwamba nyumba ya Mbunge huyo pamoja na baadhi ya vitu vyake ikiwemo 
kiwanja kupigwa mnada na Benki ambapo alikuwa anadaiwa mkopo aliochukua 
kwenye Benki hiyo.
Mwandishi mmoja  alimtafuta Kapteni Komba
 siku ya January 20 2015 akazungumzia taarifa hiyo ambapo alikanusha kwa
 kusema sio kweli kwamba vitu vyake vinapigwa mnada ikiwemo nyumba yake 
kwa kuwa alikuwa na deni Benki ambalo tayari alishalipa deni hilo.
 
No comments:
Post a Comment