Theo Walcott: Huu ndio mshahara mpya ambao anataka kulipwa na Arsenal!!
Ni dhahiri sasa Theo Walcott anataka kuufikia mshahara wa Mesut Ozil baada ya kuitaka klabu yake ya Arsenal kumwongezea mshahara zaidi kwa wiki.
Awali mshambuliaji huyo alikua akipokea
kitita cha pauni 90,000 lakini sasa ameitaka klabu yake hiyo imlipe
pauni 100,000 ambazo ni sawa na zaidi ya milioni 260 ndani ya wiki moja
akitofautiana kidogo na Ozil ambaye analipwa pauni 140,000.
Theo Walcott ambaye amerejea hivi
karibuni, sasa anaitaka Arsenal kumuongezea mshahara hadi kufikia pauni
100,000 (Sh milioni 260) kwa wiki.
Walcott alikuwa majeruhi kwa kipindi kirefu lakini amerejea na kuanza kuonyesha kiwango kizuri.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment