WENYE UHITAJI MBALIMBALI WAPATIWA MISAADA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwakilishi
wa Mkuu wa wilaya ya Ilala JEREMIAH MAKORERE wa tatu kushoto
akiwakabidhi watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kama ALIBINO baadhi ya
misaada ambayo imetolewa na taasisi hiyo kama njia moja wapo ya
kusaidiana,hafla hiyo imefanyika jijini dar es salaam.
Baadhi ya waliopata misaada hiyo wakichambua kuona bidhaa walizopatiwa
MAKORERE amesema kuwa kumekuwa na matendo mengi ya ukiukwaji wa haki za
binadamu ambayo yanafanywa na watu wachache kutokana na kuwa mbali
na Mungu ambapo amezitaka taasisi mbalimbali za kidini kuwa katika
mstari wa mbele katika kukemea hali hiyo.
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment