Mfanyabiashara soko la Mgandini Tanga, Hamis Mtote,
akipanga mihogo aina ya Kibandameno ambayo inatoka katika shamba la mfano
lililoko Tarafa ya Maramba Wilayani Mkinga.
Mfanyabiashara soko la Mgandini Tanga, Salim Hamis,
akipanga mihogo aina ya Kibandameno ambayo inatoka katika shamba la mfano
lililoko Tarafa ya Maramba Wilayani Mkinga.
Mfanyabiashara soko la Mgandini Tanga, Juma Sharif , akishindilia katika kiroba
mihogo aina ya Kibandameno ambayo
inatoka katika shamba la mfano lililoko Tarafa ya Maramba Wilayani Mkinga.
No comments:
Post a Comment