Sunday, March 15, 2015

BREKING NEWS

Kampuni ya usafirishaji abiria ya Freys Coach ya jijini Tanga, imeanza safari zake kutoka Tanga, Moshi, Arusha hadi Singida kwa kutumia gari zake za Luxury Bus ambazo huduma zote za vitafunywa na vinywaji vinapatikana bure wakati wa safari.

Usafiri huo unaoanza kila siku asubuhi na ofisi zake zikiwa barabara ya 12 mkabala na kituo cha mafuta Tanga ambapo abiria wanaombwa kukata tikiti zao mapema kabla ya safari ili kuepuka usumbufu.

Gari hizo ambazo zinafanya safari kila siku asubuhi kwenda Moshi, Arusha  hadi Singida baadhi ya wasafiri wametafsiri kuwa wamepata Ukombozi wa usafiri wa njia hiyo.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Ofisi Tanga, 0655 902929.

FREYS LUXURY BUS NI MKOMBOZI WAKO. FULLY KIYOYOZI MWANZO MWISHO.


No comments:

Post a Comment