Monday, March 16, 2015

HEBU CHEKI TENA PICHAZ, TUKIO LA HOSTELI YA MABIBO

HUZUNI TUKIO LA MABIBO, HATUAMINI

Wanafunzi wakiwa nje ya jengo lililoungua wakati wakitafakari pakwenda.
Sehemu ya paa la jengo hilo iliyoungua.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa.
Wafanyakazi wa Tanesco wakiwasili eneo la tukio kutoa msaada.
Baadhi ya wanafunzi wakitafuta pakujihifadhi baada ya janga hilo.


Wanafunzi wakijadiliana jinsi ya kufanya.

Katika tukio hilo wanafunzi wawili wamekimbizwa hospitali baada ya kuumia katika purukushani za kujiokoa ambapo mmoja alijirusha kutoka ghorofa ya pili ulipoanzia moto huo na mwingine aliumia kwenye mkanyagano wakati wa kujiokoa.
 

No comments:

Post a Comment