1. Rungnado May Day stadium

Upo Korea Kaskazini: Unauwezo wa kuchukua mashabiki 150,000
2. Salt Lake stadium

Upo India: una uwezo wa kuchukua mashabiki 131,000
3. Bukit Jalil National Stadium

Upo Kuala Lumpur-Malasia: una uwezo wa kuchukua jumla ya mashabiki 100,411
4. Camp Nou

Upo Hispania: una uwezo wa kuchukua mashabiki 99,786
5. FNB Soccer City

Upo Johhanesburg Afrika Kusini: una uwezo wa kuchukua mashabiki 94,736
6.The Rose Bowl stadium

Upo USA: una uwezo wa kuchukua mashabiki 92,542 kwa wakati mmoja.
7.Cotton Bowl stadium

Upo Dallas Texas Marekani: una uwezo wa kuchukua mashabiki 92,100
8. Memorial Stadium

Upo USA: una uwezo wa kuchukua mashabiki 91,471
9. Wembley stadium

Upo London, Uingereza: una uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000
10. Eden Gardens

Upo Kolkata India: una uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000
No comments:
Post a Comment