Njia aliyotumia jamaa huyu kusafirisha dawa za kulevya
Kumekuwa
na mbinu mbalimbali za wahalifu kusafirisha dawa ya kulevya kwenda
sehemu mbalimbali duniani lakini mbinu alizotumia raia huyu wa Nigeria Friday Ogbonna, zimeingia kwenye headlines.
Raia huyo alikamatwa na polisi siku ya
jana baada ya kukutwa na kete kilo 35.115 za dawa za kulevya ambazo
alizificha katikati ya sousage ambazo alipanga kuzipeleka China.
Hata hivyo ujanja wake haukufua dafu
baada ya screen za usalama kuweza kunasa dawa hizo akiwa uwanja wa ndege
wa Nigeria tayari kwa safari ya China.
Hakuna story itakayokupita , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment