Macho ya watu wengi duniani yapo kwenye uhusiano wa mastaa hawa kumi..
Kuna
kitu kama kimezoeleka na watu wengi hivi, ishu ya kuona mastaa wakidumu
muda mfupi kwenye uhusiano wa kimapenzi, lakini upande wa pili ni
kwamba wapo ambao wamedumu na kuwa kivutio cha watu wengi.
Hapa nimekusogezea listi ya mastaa 10 duniani ambao wapo kwenye uhusiano na wamekuwa wakitazamwa na watu wengi zaidi duniani:-
1. Brand Pitt na Angelina Jolie2. Russel Brand na Katy Perry
3. Jay Z na Beyonce
4. David Beckham na Victoria
5.Will Smith na Jada Pinkett
6. Kanye West na Kim Kardashian
7. Barack Obama na Michelle Obama
8. Prince Willium na Kate Middleton
9. Jennifer Garner na Ben Affleck
10. John Legend na Chrissy Teigen
Hakuna story itakayokupita , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment