Gari aina ya Hiace iliyokuwa ikifanya safari zake stendi mpya
ya Kange na Ngamiani Tanga mjini ikiwa imepinduka baada ya kuteleza wakati ikikwepa daladala T269CYE iliyokuwa ikitokea
mweleo wake na kuelekea Mikanjuni na abiria wa magari yote mawili walipata majeraha na kukimbizwa hospitali ya Bombo kwa matibabu na hakuna mtu
aliekufa katika ajali hiyo iliyotokea muda mfupi asubuhi hii
iliyotokea eneo la PPTL Jeshini.
No comments:
Post a Comment