Ukatili aliofanyiwa mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba..
Dynel Catrece Lane ndie
mwanamke ambaye ametajwa kuhusika na kosa hilo, alimchoma mwanamke huyo
kisu tumboni na kumtoa kichanga hicho halafu akakimbia kwenda Hospitali
akidai kwamba ametokwa ujauzito, wakati huo alikuwa amekishika kichanga
hicho mkononi kikiwa kimefariki.
Baada ya Lane kufanya tukio hilo na kukimbia, Michelle alipiga simu ya dharura 911 kuomba msaada; “amenichoma tumboni.. nina ujauzito..“
Lane amefunguliwa mashtaka matatu, kosa la kuua, kutesa na kosa la kukiuka haki za watoto.Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment